Tag Archives: TECNO SMARTPHONES

Unboxing TECNO Phantom 6 Plus||Ghanafuo.com

Ghanafuo.com founder, David Mawuli unboxes TECNO Phantom 6 Plus which just hit the market. Join him as he shares with you what is inside the box. Don’t forget to log on to www.ghanafuo.com for the review later. Follow us on Twitter, Facebook and Instagram at @ghanafuodotcom Subcribe to our channel for more! source Tecno L9 […]

Tecno Wazindua Smartphone Mpya L9 Plus Inayotunza Siri 100%

Kampuni ya simu za mkononi ya Tecno leo tar. 21/03/2017 imezindua simu mpya yenye uwezo mkubwa na inayoendana na kasi iliyopo katika kizazi hiki cha digitali kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi chaji, kutunza kumbukumbu, kupiga picha, uwezo mkubwa wa kuperuzi na mambo mengine mengi mazuri ambayo yote yameelezewa vizuri katika video hii. source […]